Kama karibu kila somo ulikaribia kufeli unataka kufundisha nini? Mwalimu mwenye mostly C kuenda chini anaweza kufundisha wanafunzi wakapata A?
Ualimu ni wito. Usijiunge na chuo cha ualimu kama namna ya kutafuta ajira. Ni lazima uwe unapenda kufundisha na uwe kioo cha jamii. Huna interest yoyote ile au kipaji chochote unachotaka kukiendeleza?