Sifa za kujiunga na form five ni zipi?
Je ni sawa private na public schools?
Nisaidie maana kuna mtu ana d tupu anawenda private school kufanya interview ya kujiunga na form five.

Mkuu sidhani kama kuna tofauti kwani wanapojiandikisha kufanya mtihani wanatakiwa wawe na ufaulu wa chini uliowekwa kwenye hivi vigezo na hapo haijalishi kama uko private au serikalini.