C chotera JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 6,562 Reaction score 15,985 Sep 26, 2017 #21 Ukiwa na sifa hizo hutolazimisha kupendwa na unaowaongoza wao wenyewe watakupenda tu.
redio JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 6,458 Reaction score 14,183 Sep 26, 2017 #22 Kikwete alikuanazo na humu Jamiiforum ametukanwa sana. Ikafikia kuitwa Vasco Dagama, Rais Dhaifu na matusi mengimengi. Aina ya uongozi tulionao sasa ndio unao tufaa. Mungu amewapa Watanzania walicho mwomba.
Kikwete alikuanazo na humu Jamiiforum ametukanwa sana. Ikafikia kuitwa Vasco Dagama, Rais Dhaifu na matusi mengimengi. Aina ya uongozi tulionao sasa ndio unao tufaa. Mungu amewapa Watanzania walicho mwomba.