kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,245 May 5, 2014 #1 Kufanikisha ndoto zake, kuwa na mke na nyumba yenye furaha, kuwa na uwezo wa kuwalisha na kufanikisha mahitaji ya mke wake na watoto wake. Pamoja na kumtosheleza mke wake maitaji ya kimwili na kuwa mwaminifu kwake.
Kufanikisha ndoto zake, kuwa na mke na nyumba yenye furaha, kuwa na uwezo wa kuwalisha na kufanikisha mahitaji ya mke wake na watoto wake. Pamoja na kumtosheleza mke wake maitaji ya kimwili na kuwa mwaminifu kwake.
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 May 5, 2014 #2 ^^ Hivi Furaha ya nyumba inaletwa na Mwanaume? ^^
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,084 May 5, 2014 #3 himidini said: ^^ hivi furaha ya nyumba inaletwa na mwanaume? ^^ Click to expand... loving each other, sharing and understanding one another
himidini said: ^^ hivi furaha ya nyumba inaletwa na mwanaume? ^^ Click to expand... loving each other, sharing and understanding one another
jembe afrika JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 7,602 Reaction score 3,783 May 5, 2014 #4 Mkuu umefeli...loading error....