Sifa kuu tano za Siasa.

Sifa kuu tano za Siasa.

mult_talented_p

Senior Member
Joined
Oct 10, 2016
Posts
103
Reaction score
120
textgram_1522263015.png
Siasa ina sifa mbali mbali, pamoja na kuwa na maneno mengi na uongo mwingi sana.
Kwenye utekelezaji, yaani practice, siasa inajidhirisha kuwa kwanza haina marafiki wala maadui wa kudumu. Lakini, siasa hio hio, ina maslahi ya kudumu.
Sera za Siasa hubadilika kutokana na mazingira na hivyo kuifanya iwe haitabiriki.
Hivyo kimlolongo, siasa ina sifa zifuatazo ambazo ni marudio ya zilizotajwa hapo juu.
1. Siasa haina marafiki wa kudumu
2. Siasa haina maadui wa kudumu bali,
3. Siasa ina maslahi ya kudumu
4. Siasa hubadilika kutokana na mazingira na hivyo,
5. Siasa haitabiriki.
 
Siasa ni uwezo wa kudanganya watu, ndo mana watu waongo waongo ni wanasiasa.... watu wakweli kamwe hawawezi kuwa wanaisiasa maana wanahubir uhalisia.
 
Siasa ni kuwaambia watu kuwa unataka kufanya kitu Fulani,huku kichwani mwako ukiwa na mpango wa kufanya kitu kingine,lakini mwisho wa siku unaishia kufanya kitu tofauti kabisa sio kile ulichokisema na wala sio ulichokifikiria.

By SAADAM HUSSEIN
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom