kakamera Member Joined Oct 30, 2016 Posts 29 Reaction score 7 Nov 13, 2016 #1 Alikuwa Mwizi..Mjeuri..Mbishi...na nyingine nyingi lakini mtu huyu akifa huzungumzwa vizuri...nini sababu?
Alikuwa Mwizi..Mjeuri..Mbishi...na nyingine nyingi lakini mtu huyu akifa huzungumzwa vizuri...nini sababu?
S St Lunatics JF-Expert Member Joined Aug 29, 2015 Posts 6,644 Reaction score 11,201 Nov 13, 2016 #2 Sababu marehemu aliishi maisha ya kinafiki na anapewa sifa za kinafiki.
Mwanga Lutila JF-Expert Member Joined Nov 10, 2016 Posts 4,291 Reaction score 14,787 Nov 13, 2016 #3 kakamera said: Alikuwa Mwizi..Mjeuri..Mbishi...na nyingine nyingi lakini mtu huyu akifa huzungumzwa vizuri...nini sababu? Click to expand... Atapewa sifa zile ambazo nyingi hazijulikani, zile za Mwizi, Jeuri, Mbishi etc.. Haziwezi kutajwa kwa sababu mnazifahamu.
kakamera said: Alikuwa Mwizi..Mjeuri..Mbishi...na nyingine nyingi lakini mtu huyu akifa huzungumzwa vizuri...nini sababu? Click to expand... Atapewa sifa zile ambazo nyingi hazijulikani, zile za Mwizi, Jeuri, Mbishi etc.. Haziwezi kutajwa kwa sababu mnazifahamu.
kakamera Member Joined Oct 30, 2016 Posts 29 Reaction score 7 Nov 13, 2016 Thread starter #4 Mwanga Lutila said: Atapewa sifa zile ambazo nyingi hazijulikani, zile za Mwizi, Jeuri, Mbishi etc.. Haziwezi kutajwa kwa sababu mnazifahamu. Click to expand... Nimeipendaa
Mwanga Lutila said: Atapewa sifa zile ambazo nyingi hazijulikani, zile za Mwizi, Jeuri, Mbishi etc.. Haziwezi kutajwa kwa sababu mnazifahamu. Click to expand... Nimeipendaa
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Nov 13, 2016 #5 kakamera said: Alikuwa Mwizi..Mjeuri..Mbishi...na nyingine nyingi lakini mtu huyu akifa huzungumzwa vizuri...nini sababu? Click to expand... Unafiki
kakamera said: Alikuwa Mwizi..Mjeuri..Mbishi...na nyingine nyingi lakini mtu huyu akifa huzungumzwa vizuri...nini sababu? Click to expand... Unafiki
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Nov 13, 2016 #6 kakamera said: Alikuwa Mwizi..Mjeuri..Mbishi...na nyingine nyingi lakini mtu huyu akifa huzungumzwa vizuri...nini sababu? Click to expand... Muulize Mwakyembe wa Zaire
kakamera said: Alikuwa Mwizi..Mjeuri..Mbishi...na nyingine nyingi lakini mtu huyu akifa huzungumzwa vizuri...nini sababu? Click to expand... Muulize Mwakyembe wa Zaire
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,069 Reaction score 60,756 Nov 13, 2016 #7 Oa/ olewa utukanwe, Kufa usifiwe