Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,728 Reaction score 172,010 Aug 29, 2021 #21 USSR said: Na minguo ya mitumba ya bukubuku USSR Click to expand... Hawavaagi malonya wale, mikato ya maana...bukubuku ni dar wanaenda kudaka ilala saa kumi alfajiri, unanunua jeans black asubuhi unagundua kumbe ina rangi ya ugolo.
USSR said: Na minguo ya mitumba ya bukubuku USSR Click to expand... Hawavaagi malonya wale, mikato ya maana...bukubuku ni dar wanaenda kudaka ilala saa kumi alfajiri, unanunua jeans black asubuhi unagundua kumbe ina rangi ya ugolo.
fasiliteta JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 2,598 Reaction score 4,473 Aug 29, 2021 #22 Sifa ya 11,Ni wavuta Bangi vijana na wazee
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Aug 29, 2021 Thread starter #23 Evelyn Salt said: Wapate tu kwakweli ila wapo vizuri, hata kuzunguka zunguka mjini raha unaona vijana wazuri....shingo inazunguka huku na kule kama pangaboi. Click to expand... Basi wanabahati sana
Evelyn Salt said: Wapate tu kwakweli ila wapo vizuri, hata kuzunguka zunguka mjini raha unaona vijana wazuri....shingo inazunguka huku na kule kama pangaboi. Click to expand... Basi wanabahati sana
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Aug 29, 2021 Thread starter #24 Fall Army Worm said: Hiyo Namba 8 umetulisha matango pori.Hivi Mwanza unaiacha wapi??. Click to expand... Mwanza ilikuwa zamani kwa sasa Arusha
Fall Army Worm said: Hiyo Namba 8 umetulisha matango pori.Hivi Mwanza unaiacha wapi??. Click to expand... Mwanza ilikuwa zamani kwa sasa Arusha
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Aug 29, 2021 Thread starter #25 geofreyngaga said: au nini kinaifanya hii tower kua katikati? naomba kuelimishwa pls!!! Click to expand... Tower inapimwa kutoka misri hadi kusini. Hivyo Google wao wanaleta njia
geofreyngaga said: au nini kinaifanya hii tower kua katikati? naomba kuelimishwa pls!!! Click to expand... Tower inapimwa kutoka misri hadi kusini. Hivyo Google wao wanaleta njia
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,414 Aug 29, 2021 Thread starter #26 fasiliteta said: Sifa ya 11,Ni wavuta Bangi vijana na wazee Click to expand... Haipingwiii