Sielewi nifanye nini

Mwambie kabla hujamsamehe akueleze sababu ya kutaka kukuacha hapo mwanzoni ndo utamuelewa.

Akikujibu vyovyote tuu hata akikudanganya sababu atajijua,ila unasamehe tuu ila ndo akae akijua msamaha doesn't mean kurudiana. Aende kwa amani.
 
Yani kamshirikisha hadi mama yake...

Duh...
Dunia kweli imebadilika
 
Labda huelewi ufanye nn ila naamini ushamuelewa usijifunge broo uhalisia wa mtu unauona kwenye matendo ongea naye mjibutext ila badilisha mawazo yakuwa mpenzi kwako atakusumbua akili uyooo maisha yenyewe mafupi
 
Mkuu Khantwe comment zako zinairritate sana, zipunguzie makali.
 
Achana na mapenzi ya secondary school
 
No body is perfect uaweza muacha mwenye mwandiko mbaya ukaenda Kwa shetani anaeremba mwandiko.
Comment yako imeonyesha wanawake mnapo fail kufanya maamuzi sahihi kisa vitu vidogo.
Msichukulie kila kitu serious wapuuzi ninyi comment yangu ya utani tu inawatoa povu balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…