Sielewi nifanye nini

Sawa endelea kukaza ila nipe namba zake nijaribu kujiweka
 
Mada yako ni nzuri sana hapa jamvini.
Ila mpangilio wa visa na matukio muwe mnavizingatia.

Huyo binti anakupenda ila anataka akusome internally.
Au ameshapata mtu mwingine anajaribu kukuacha nafsi yake inashindwa.

Simama imara, ukilegea umejwisha!
 
Nakumbuka hii ilinitokea 2016, binti alinitumia text anasema mimi na wewe basi. Kusikia vile nikashtuka nikasema imekuwaje tena? Kama mnavojua huwezi kukubali mtu akuache hivihivi, nikampigia kumuuliza vipi imekuwaje tena? binti kasema hamna kitu, basi tuonane tuyazungumze kama kuna shida, binti anasema hamna shida na wala sijamkosea wala nini. Mwanaume nikasema poa. Baada ya wiki moja binti ananipigia anasema nilipitiwa tu naomba turudiane. Mimi nikagoma. Huo ndo ukawa mwisho wa mahusiano yetu. Hapo uamuzi ni wako, ila kwangu hapo ndo ingekuwa kwaheri
 
kwa jinsi ulivyoelezea, wewe na huyo demu wako achaneni na mapenzi kabisa na kisha muanze kucheza movie.

Nakuhakikishia mkicheza drama movie na huyo demu wako itauza kuliko hata ile ya mr and mrs Smith, kisha utakuwa na mkwanja wa kutosha tu na hatutokuona hapa ukilia lia tena.
 
Hii ngoma ngumu kubet. ila fanya ivi kurudiana nae huyo hakikisha kwanza amekueleza sababu za msingi zilizopelekea afanye yote hayo.

Kama asipokueleza ujue kuna kitu anakuficha au huyo dem ni fala unaachananae.

Mimi hapo ningeachananae mazima yaani mwanamke akisema tuachane huyo sibembelezi namuacha hata kama nikijua alikuwa anajaribisha ili aone reaction yangu.
 
siku zote usiingize miguu yote kwenye tundu moja ni rahisi kuanguka, akili kichwani
 
Mkuu manzi yako ni drama queen. Anakuchokonoa. Na ana staki nataka nyingi sana..sasa ww fanya hivi. Shikilia msimamo yako.. acha aruke ruke weeee.. ww mwache. Lakin simama kiume . Usipanick.
mzee baba umetoa ushauri safi, sasa yeye akicheza ngoma ya manzi na mama mkwe keshapotea kabisa ndoa itakuwa ya vikao kwa kila jambo hata mambo ya papuchi.
 
Inakuaje mwanaume unaandika vifupi vifupi na ilo neno "coz" huoni aibu kuliandika ?

Anyway
 
Mtu akiwa na furaha hutoa ya moyoni, akiwa na hasira hutoa ya moyoni pia.

Bibie alikua na mpango wa kando alioutegemea, ila ukamrostisha. Na ukiangalia, alikua amepatwa na mwezi. Hasira kama zote.

Hasira zikampelekea ahitaji space, na kufikia maamuzi hayo.

Mkuu amini, usiamini, bibie hakuitaji. Anakuchulia oya oya sana.

Usisubiri Malaika atoke juu akuthibitishie.
 
Endelea na safari uliyoianza usirudi nyuma, utaumia zaidi ya sasa.
 
Shangazi Rebeca 83 unavunja ndoa ya watu
 
Kuna sababu unatakiwa kwanza ujue moja nini kilipelekea kusitisha mahusiano mbili nini kimefanya arudishe mahusiano ukijua hayo 2 chuja halafu fanya maamuzi sahh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…