FLASH HIDER
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 397
- 508
Kwa majibu haya nina uhakika mwaka huu ni wa mwisho sisi watu wa Mbeya kuona ligi kuu kwa mgongo wa Mbeya City kwani itashuka tu daraja.
ww ni mjinga kati ya wajinga. mcc haijawahi kusaidiwa na mh sugu msipotoshane humu jf. alafu mcc haijashuka kiwango kama ulivyoandika isipokuwa ilifungwa kama timu zingine. kingine ww siyo mshabiki wa mcc unadanganya. mm ni mshabiki wa mcc kutoka uyole sisi ndo wenye timu sema ww ni simba na yanga victims. Tena uache unoko ww bila shaka utakuwa wa kule tukuyu maana nyie ni washamba hamna timu toka timu yenu ya tukuyu stars kushushwa na moro untd sasa mnadandia kwa mcc. pandisheni tkt stars ipo daraja la tatu. Kama mnataka kushabikia mcc muwe waukweli hatutaki unafiki nyie jamaa mna ukabila sana ndio maana mliiua tky stars sasa mmeharibu na na tz prison
SUGU anasaidia toka mwaka na timu ilikuwa inafanya vizuri. Sema maccm inawauma SUGU kusaidia timu kwa kuwa inamuongezea cv kwa wana mbeya ndio maana mmeanza kuihujumu na soka la Tanzania haliendelei kwa sababu hiyo viongozi wengi wa soka ni Viongozi wa ccm pia matatizo ya Tanzania ni sawa na yanayotokea kwenye soka acheni Kuihujumu Mbeya city kwa sababu ya SUGU haitawasaidia hata kidogo aibu sana kwa MACCM
Kushuka kwa kasi kwa kiwango cha uchezaji wa Mbeya City kumeshtua wengi.
Lakini timu hii hii ilipokuwa chini ya Manispaa ya Mbeya mwaka jana ilifanya vizuri sana. Ikajichanganya na kuingia kwenye siasa za vyama matokeo yake ndiyo haya.
Mhe Sugu livyoingia kwenye Timu hiyo ndo kaharibu kabisa.Wote tumeshuhudia jinsi Mhe Mbowe na Sugu walivyo ingia kiwanjani Mbeya kwa mbwembwe na kugeuza kabisa kuwa mpira ni siasa.
Wana Mbeya tusipoliona hili timu itashuka daraja.
wee baba kwan mbowe na sugu waliwashika miguu wachezaji......be reasonable when judging things....na simba aliingia nani uwanjan.