mtunzasiri
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 1,446
- 988
Wanasiasa na wenye kura za veto nchi hii njooni mtujibuni hapa kwanini iwe sisiem tuu hata kama inatutenda sivyo?
Kwanini hali ya maisha iwe mbaya awamu hii na sio kabla, kwanini mafisadi mpaka Leo hawajapatikana na mahakama zimekosa wateja ikiwa tunaambiwa mafisadi wametufikisha hapa?
Kwanini njia ya uchumi tz iwe ni permanent winner (sisiem) na permanent looser (upinzani) hata kama ulishinda?
Kwanini kuna kuchagua wanafunzi wanaopewa mikopo elimu ya juu na wengine wasipewe je hawastahili kupata elimu ya juu nchi hii?
Kwanini mpaka leo kilimo hakipewi fursa sawa kiuchumi na kijamii kama sekta nyingine za uzalishaji mfano madini, nk?
Kwanini hakuna uwanja sawa kwenye siasa ikiwa sheria zinaruhusu uwepo wa hoja mbadala na uhuru wa kuanziasha na kujiunga na chama cha siasa?
Kwanini inafutwa mikutano ya hadhara ya siasa inayoruhusiwa kikatiba tunaruhusu mikutano ya dini na chama tawala tuu?
Kwanini kamatakamata ya wanasiasa wa upinzani na kuwekwa ndani bila dhamana ikiwa ni haki yao kupata dhamana?
Kwanini tunaruhusu kuzuia kuonyesha bunge mubashara na pia kufungwa kwa wabunge wenye pass ya diplomansia ?
Kwanini tunaona aibu kuzungumzia upungufu wa chakula nchini kana kwamba kupata janga la njaa ni uhaini?
Kwanini hakuna jitihada za maksudi kukuza michezo mbalimbali nchini ambayo ndio ajira mbadala ikiwa uongozi ni wa chama kile kile miaka nenda rudi ?
Kwanini hakuna fursa sawa za kupata mikopo nchi hii ikiwa binadamu wote sawa tunahitaji kukua kiuchumi na maendeleo?
Kwanini serikali inatumia nguvu nyingi kuzuia uhuru wa kujieleza na kutoa maoni kisiasa ikiwa hata yesu mwenyewe kama kiongozi alidhihakiwa?
Kwanini Lipumba anajiamlia kuchukua ruzuku serikalini kienyeji na mkulu anamchekea na kumsifu kujumuika nae je ni kweli ana Mkataba na Jeshi nchini?
Kwanini serikali inawafurahia machinga mijini je ni kweli imeshindwa kuwaendeleza kielimu inawatumia bila kazi ya msingi barabarani?
Kwanini kwanini kwanini kwanini nyiiingii haziishi jibuni hizo kwanza tutaendelea..........