Zitto ni mpinzani wa Ccm na serikali yake . Ulitaka afanyeJe ?!.
Wenye akili tu watamuelewa zito. Kilaza miaka miambili huji kumuelewa zito. Na hilo halishangazi. It's a common sense.
hata saa mbovu huwa inasema ukweli mara 2 kwa siku


.Mfano?
Hayo yoote yanaweza kuwa sawa au HAPANA, ila kwa nini vyama vya kupinga a.k.a upinzani kwa nini havina ofisi za maana na wanapata gawiwo/ruzuku kutoka serikali ya ccm?
Na kwa nini hata kama ruzuku ni ndogo wengine wanachangishana kutika kwenye posho kama cdm ila ukiangalia ofisi 🏠yao kama nyumba ya mjumbe aliyepo huko kigona mpakani.