Siasa za TZ Ni Laana!!!!!!!!!!!

Siasa za TZ Ni Laana!!!!!!!!!!!

GreatApe

Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
48
Reaction score
6
Wana-JF habari,

Naandika nikiwa nimepiga viroba vya Konyagi zaidi ya 30; kinywaji maridadi duniani (pole kwa nitakao wakera) lakini nina hoja;

  • Tanzania ni nchi ambayo wananchi wake haelewi nini maana ya siasa na siasa inaumuhimu gani kweye maisha yao ya kila siku na mustakabali wa maisha yao ya baadae na vizazi vijavyo;- ndiyo maana hawana hata dalili ya kuwashughulikia viongozi wao waliowachagua au walioteuliwa na viongozi waliowachagua;


  • Wanasiasa wa Tanzania hawajitambui wapo kwenye dunia gani kwani asilimia 96% ya wanasiasa wa Tanzania wana anangaalia na kushughulika a maswala binafsi badala ya wananchi waliowapigia kura; wakati wanasiasa wa nchi nyingi duniani (masikini na tajiri) wanahangaika na kushughulikia kuokoa uchumi wa nchi zao dhidi ya nchi za nje na sio muda wa maswala ya uchumi au utajiri ya binafisi;


  • Wanasiasa na viongozi wengi wa Tanzania wanalinda mahitaji na maswala ya vyama binafsi (manifesto za vyama vyao) badala ya maswala muhimu katika mustabali wa Taifa Kwanza, viongozi wa nchi nyingi maskini wameliona hilo nawanajirekekisha ndo maana mfano mdogo ni Ris wa Malawi kuuza ndege ya Rais na kununua chakula cha masikini ambao ni wapiga kura;


  • Swala la uongo na kiburi ni tabia na utamaduni wa wanasiasa wengi wa Tanzania wakijitabainisha kwa ubabe na mamlaka zaidi ya mamlaka ya muhimili wa mahakama na bunge huku wakipata msaada wa mamlaka ya muhimili wa Utawala ambao kwa kiasi kikubwa una milikiwa na ikulu (Mh.Rais).


Mambo mengine kesho maanake hali halisiya nchi yetu ni zaidi ya zizi la ng;ombe w nyama ambako hakuna mewnye usimamizi wa ki-uongozi.

Inasikitisha hata kabla ya kuwasilisha...............................
 
Back
Top Bottom