Siasa za nchi hii kero tupu!

Siasa za nchi hii kero tupu!

Mpasua Jipu

Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
12
Reaction score
3
Ukitaka kujua kero na madudu ya wanasiasa wetu fuatilia vikao vya bunge
 
Inakuwa sio kero pale wabunge wa CDM wanapoongea hata kama ni pumba wakanyamaziwa! Si unajua kuwashwawashwa?
 
​umeanza kuwashwawashwa nawewe kama ccm maana chadema inawafanya viti visikalike serikali isitawalike m4c forever
 
HALLELUYAH AMEN AMEN --- SISI TUKO NA MUNGU na Ukweli inaumwa, CCM wanapauka pauka tuu kama mbua wenye njaa kali, CHADEMA baana wana ELIMU na AKILI ina Charge na masomo yao inatija na Tunaeona. Wanawatingisha mpaka wanakosa balance nakubwauka hovyo this the time to know people who have brains and are EDUCATED. PEOPLES POWER KAMA NGUMU IPIGWE KWA ULE MFISADI CCM amekaa tuu kwa sababu uko BUNGENI kuiba Kura za CHADEMA.:spy:
 
Back
Top Bottom