Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,613
Kuna hoja za wachangiaji wengi humu jamvini wakimuhusisha mwanasiasa mmoja na siasa za kistaarabu ati ambazo zilipelekwa yeye pamoja na kuwa mpinzami, hajawahi kupigwa mabomu na Polisi.
Bahati nzuri niliwahi kuhidhulia mkutano fulani manzese ambao kwa tathmini zangu ulikuwa wa kistaarabu, lakini Polisi walipiga mabomu hata kabla haujaanza
Cha ajabu zaidi msaarabu huyo anawafuasi wengii wa kutoka kijanini na hao wa kijanini huona ustaarabu kuvaa jezi za chama cha mstaarabu na zaidi ya hapo hueneza sera za kiataarabu, siachi kushangaa Kweli ustaarabu huu Uko juu!
Nimepewa taarifa kuwa ati pia Mwenyekiti wa kijanini wa wilaya Fulani alishiriki kugawa kadi za wastaarabu, hata asiye na akili nampa mwezi tuu atakuwa amwzindukaaa! Wastaarabu! wasataarabu!!!!