Majukuku yao ni makubwa sana, tuwe na wivu wa kiasi, mishahara hiyo minono itawawezesha kujikimu kimaisha vizuri na wawe na nguvu ya kukataa kupokea rushwa na kutumiwa dhidi ya maslai ya taifa.
Kumbuka kwamba mwanasiasa mwenye level ya ubunge anapopokea rushwa ktk namna yoyote ile, hathari zake ni kubwa sana, zinagusa taifa zima.
Ndio maana kwa sababu wabunge na wanasiasa waCCM wameshindwa kuwaheshimu watanzania japo wanawapa mshiko mnono namna hiyo, adhabu yao ndio hii inayowanyemelea, kunyang'anywa tonge now.
Angalizo.
Kama lengo lako ni kutaka kuwashika shati wabunge wa CDM kwa hoja jii nyepesi naomba nikujulishe kwamba mimi binafsi kama mtanzania nayelipa kodi kubwa onmonthly basisi niko tayari wabunge hawa waongezwe mishahara na marupurupu kwa risk wanazochukua ktika kuwapigania watanzania.
Likushuke