Hahaha,aisee umepiga msumari kweli.
Yaani wanaona watu woote watoto,ila wanawapata wale wameojua mambo ya Siasa kuanzia miaka ya 2010,maana ndio mambulula
Sasa kama wao walishinda mbona hawakususa kama walivyowashauri wenzao wa CUF wasuse ili wapotee.CUF wamesema haitambua Serikali ila Chadema wanaitambu Serikali.Vituko kweli aisee hawa Nyumbuzzz
Halafu wanaona watu woote wajinga,kwani MCC ilivyozuia karibia US$ 800m kenya,mbona hawakula majani.
Na Mbona waliwahi kuzuia misaada kipindi cha nyuma na watu hawakula majani na maisha yanaendelea.tatizo hata wao wenyewe kumbukumbu hawana.Wanaona Wanachama woote akili zao ni kama zile za wazee wa Kuandamana miaka ya 2005 kushuka chini.
Majipu yataingia mpaka kwao,wasubirie muda ufike tu,hawatoki,maana tunawajua.Sasa ndio wanajilinda.Wazee wa Richmond leo wamesafisha,siwashangai saana kumlinda bosi wao,maana wao ni wasakatonge tu