Wanafiki wote MOTONI. Wewe mleta thread ni nafiki na moto unakusubiri, sijui kama ni mke au la lakini kama sio ke basi watu wanapakua. Hivi Bavita mna akili mbovu kiasi gani, yaani unakaa kumjadiri mtu halafu unakuja na siasa dhaifu na hafifu chini ya umri wako heti watu wakusikilze. Najua wapo wachache wenye akili kama yako lakini najua nao wakijitambua hawahitaji unafiki na hoja dhaifu kama zako. Hivi huu mtaa siku hizi umevamiwa eeh, great thinker wenzetu wako wapi siku hizi. Pamebaki makapi fulani hivi, maboya na nyangau uchwara kuja humu kuleta porojo zenye upungufu wa kibinadamu, kama wadudu vile!!!!!!!!!!! TURUDISHIENI WATU WENYE KIWANGO CHA HUMU MOD.