DOFFA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 425
- 233
Kujenga nchi ni kazi sana.
MAHITAJI YAKE:
-Siasa safi
-Uongozi bora
-Maelewano
-Utii
-Uvumilivu
-Hekima
--Uaminifu
-Uadilifu
-Bidii
-Mipango
-Kupambana na wakwamishaji
-Kujenga hamasa
Siyo rahisi kumpata kiongozi mwenye yote hapo juu ila anapokuwa na vingi vinaweza kumeza mabaya yake kwa kiasi kikubwa. TZ imempata kiongozi mwenye uthubutu wa hali ya juu. Nilipata kuwa kiongozi wakati niko shule, kuna watu wenye element ya kujisifu mbele za umma lakini kiuhalisia hawana lolote.
Wapo watanzania waliopewa dhamana ya kutuongoza kwa miongo kadha lakini hawakufurukuta mwisho kwa ulafi wao wakaangukia kwenye mikono ya walafi wenziwe. Hawakutimiza malengo na matarajio ya watanzania.
Wanajitokeza watu wengi wenyekujifanya wanatetea uhuru na haki za watu lakini mwisho wa siku wanafanya hivyo kwa maslahi yao. Yapo Makanisa, misikiti yameachiwa uhuru wa kupitiliza hata kutumia uhuru wao wa kuabutu kufanya madhabahu kutumika ndivyo sivyo.
Katika kunyoosha nchi lazima wachache waumie na wengi watapona, Rais kaza buti tuko pamoja na kwamba mara pengine tunatulia kwa sababu ya ubize wetu lakini tuko wamoja tunakuunga mkono sana sana.
Asiye taka kufuata utaratibu ndani ya serikali mshughulikie sawasawa hata akihamia upande wa pili mfuate hukohuko hakuna namna nyingine ili safari yetu yakuelekea kwenye nchi ya asali na maziwa itimie.
WALIOONDOKA,WALIOONDOLEWA KWAHERINI HAKUNA HAJA YA KULIA HADHARANI,JUU YA MAGARI, KWENYE MITANDAO-TWENDENI SHAMBANI TUKALIME. MZEE MANGULA ALIONDOKA AKAENDA KULIMA MWISHO WA SIKU AKAFUATWA TUVUNE BUSARA HIZI.
WASALAAM,