Siasa na utawala

manviste

Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
16
Reaction score
4
Wakuu Kwema... Najua Wengi tunafuatilia Sana siasa duniani. Hasa kwenye yale mataifa yaliyoendelea na Ambayo uchumi Umekua kujilinganisha na sisi... Mfano marekan.. U. K, China na mengineyo Mengi.. Mataifa hayo yanakumbwa na Changamoto nyingi lakini still uchumi wao uko strong!!! Je wametumia mbinu gani??
 
Hao hawana njaa mkalia tumbo, wanajua kusema ukweli pale inapobidi na siyo kusifia mambo ambayo hayapo sawa wakihofia milo, Siri kubwa ya mafanikio ni ukweli na kuacha kusimamia matumbo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…