Siasa na dini inavyokamilisha divide and rule

Siasa na dini inavyokamilisha divide and rule

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
2,058
Reaction score
3,443
Ukiangalia kwa sasa ni kama vita ya katiba mpya ipo moto lakin swala la udini nalo lipo moto ukiangalia chaguz za UVCCM wote ni waislam dar hat mwenyekit DODOMA pia ni structure ya uislam na wengine wakiwa watoto wa vigogo yaan inshort CCM imekua na uongoz wa kurithishana Very disgusting eg kikwete,makamba,lusinde,ndejembi,mtt wa samia suluhu,mwanyemba na wengineo wengi sana licha ya CCM tu pia CHADEMA kama imegubikwa na ukristo sana ukiangalia top headings wa chadema like mbowe,lema,heche,pambalu,maria sarungi,martin maranja,peter msigwa,sugu,boniface jacob,john mnyika,hilda newton,ntobi,lissu,cathy ruge etc wote ni wakristu.Main concern yang tusifanye dini itutenganishe hasa kwenye vyam vya sias hivi inauna sana.
 
Mnakuza sana haya mambo kuliko uhalisia wake..mana huko hawaendi kuswalisha...hata huu utaratibu eti kiongozi kuachiana mkristo na muislamu huu ni upuuzi na ujinga..tunahitaji viongozi wa nchi sio viongozi wa waumini wa dini fulani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom