Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,629
- 146,800
Nimecheka sana!Naona mzuka ulimpanda hapo
Nimecheka sana!
Naona mzuka ulimpanda hapo
QUOTE]Khaa!! Safi mama Anna Tibaijuka tunahitaji pia muda wa kucheza maishani. Tusichukulie maisha serious kwa sana :bored:
Hili ni jukwaa la siasa, anayecheza ni mwanauchumi aliyeingia katika siasa, mtoa mada anatafakari kuhusu siasa hii... quite proper. povu la nini?Sasa hiki kinahusu nini hapa? Mods hebu toeni huu upuuzi.
Me ndio maana nakuonaga we lijinga sana wewe umeingia zaidi ya mara tatu bado unasema imekosa wachangiaji nani mjinga hapo sasa? We likatuni kweli......