Siamini macho yangu, CCM ndo inakufa

Ivi lile tamasha la fiesta si linakuwa na nyomi zaidi ya hizo nyomi za Magufuli? Get back to your senses, mikutano ya ccm bila tamasha hawapati hata watu 100

kaulimbiu ya magufuli ni hapa KAZI tu na ushaambiwa KAZI na DAWA
 

hahahaha abiria wa matumaini trans. mkipeana matumaini ukweli ni Magufuli ushindi ni lazima na upo wazi kabisa
 
nasikitika kuona chama tawala kuonyesha udhaifu namna hii,Nasubiri Wosia wa mwisho wa chama hiki wakati kinakabidhi majukumu kwa wapinzani KWAHERI CCM.WEWE HUELEWEKI NI JINSIA GANI, chama kimejitakia chenyewe kufa na badala ya kushehereka unasikitika, UTASUBIRI SANA MAANA HUJUI UKITAKACHO.
 

acha kife tu tufanyeje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…