Siamini macho yangu, CCM ndo inakufa

Yaani kura tu za waislam zinatosha kumnyima lowasa kura, bado za wakatoliki, wasiokuwa na dini. Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje!!!
Siamin kama nawwe mdini
Shame


Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Ningeweza kupita tu bila kuchangia thread yako, lakini kwa kuwa mimi @rallphryder nina matatizo ya kiakili angalau nikusaidie tu! ccm kufa kupo na kupona hakutatokea mwambie aliyekupa hela ya kula leo kuwa tayari umepost ili uishi. HAPA KAZI TU.

asante sana kaka.
 
ccm ni laana ya nchi, Mungu atusaidie tuondokane nayo, bado siku chache
 

Unatujazia server bure tu hapa. Fisiem REST IN HELL.
 
kweli kuna vichaa,angalia kahama jana aalfu angalia shinyanga leo alafu utafakari tena
 
kweli kuna vichaa,angalia kahama jana aalfu angalia shinyanga leo alafu utafakari tena

Watu wa kuangalia maigizo, fiesta, na sanaa za maonyesho wapo. Ila watu wa CCM hawapo. Itakjmbukwa kuwa Dr. kwa kujua CCM ishajifia kitambo, Dr kakatza kabisa kutumia CCM badala yake anajinadi yete kama yeye. Hawezi kuthubutu kusema CHAGUA CCM, bali chagua Magufuli. Anajua akitumia neno CCM waTanzania wengi linawakera na hivyo kujihatarishia kupata hata hao wachache!

Mchana CCM usiku UKAWA!
 

Tumekuchoka na upumbavu wako huu.
 

Ivi lile tamasha la fiesta si linakuwa na nyomi zaidi ya hizo nyomi za Magufuli? Get back to your senses, mikutano ya ccm bila tamasha hawapati hata watu 100
 

bonge la ujunbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…