Siamini macho yangu, CCM ndo inakufa

Ukiona chama kinawategemea wajinga wawili "Kigwangalla na Nchemba" kwenye kampeni ujue maji ya shingo. Wazee wenye akili zao kama kina msekwa wamekaa pembeni kwa kuwa wameshaona chama linajifia.
 
Ningeweza kupita tu bila kuchangia thread yako, lakini kwa kuwa una matatizo ya kiakili angalau tukusaidie tu! ccm kufa hakupo na hakutatokea mwambie aliyekupa hela ya kula leo kuwa tayari umepost ili uishi. HAPA KAZI TU.

Hata KANU walisema hivyo ukijiona umesimama jiangalie usije anguka
 
maSinziM... NDEMBE NDEMBE, NYANG'A NYANG'A, CHALIIIII.....

Jay Milionea linalewa lewa nanii aliekulogaa na masinziM....!!!??
 
Kwakeri CCM,sijawahi kukupenda kwangu ni furaha kuona anguko lako.
 
Wale wa buku 7 wanione hapa Simiyu niwape shamba waanze kufyeka pori coz zimebaki siku 30 tu ajira yao ikome
 
Ccm ilishakufa sikunyingi tu. Hii unayoiona siyo Ccm nigenge la wezi wamali ya Umma wavaao nguo zarangi zile zilizokuwa zinavaliwa nawana Ccm.

Hawa kilammoja anawaza afanyenini apige hela. Ndomaana utawatambua kwamambo kama Escrow, Eppa, Reachmond, Meremeta, Deep green, TWIGA kupandishwa ndege nk.

Kama kuna mtanzania bado anaimani nchi hii itapata maendeleo chini yautawala wa Ccm namuonea huruma sana tu. Anatakiwa akaombewe eidha kanisani au msikitini ili ubongo wake ufunguke ajitambue.

Juzi Ethiopia wamezindua treni yaumeme, Kenya nao wakombioni kuzindua achilia mbali Rwanda na Sudan. Sisitutaendelea tu kusikia mambo yamaendeleo kamahayo kwa wenzetu kamatutaendelea nahawa wapiga dili.

Tuendelee tu ila iposiku wajukuu zetu watafukua mafuvu yetu wafanye utafiti kamakweli tulikuwa binadamu au mbuzi.
 

hatuchagui ccm tunachagua mchapakazi.
 
Chagula magufuli hapa kazi tuu ; Chagua Mwigulu muadilifu; Chagua Januari kembe letu;
Hawana chama hawa???
CCM imekufa kabisa sasa kuna watu wanaitwa badala ya CCM

Chagua Tanzania ya Magufuli! Wamekwisha chaliiiiii

***** watu mna mapenzi na chama!
 
Nyie chomoeni sharubu zenu utaona ccm itakacho kifanya october ndio mutabaki kusema tumeibiwa ccm mbele kwa mbele
 
Wale wa buku 7 wanione hapa Simiyu niwape shamba waanze kufyeka pori coz zimebaki siku 30 tu ajira yao ikome

Nahisi Ungeanza Wewe Kwanza Na Kama Shamba Lenyewe La Wiziwizi Jiandae, Lukuvi Is Still On The Move,wenzake Wanapiga Kampeni Yeye Anasafisha Wizara Ya Ardhi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…