Siamini kumbe Mchumba wangu ni malaya! Wanawake ni hatari!

Mzee baba usiteseke ww aje home akikupa mchezo weka kidole gumba nyuma akifurahi mchezo jua ulikuwa unaishi na shetani kwanza usifike mbali tupa takataka iyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani pamoja na maelezo yote hayo ya tabia ya huyo dada ulivyoelezea kinachofurahisha na pia kusikitisha sana ni pale unapoomba maarifa kwa wadau ufanye nini juu yake. Maana vitu vingine vipo wazi sana.
 
Nipe namba yake nikuepushe na hilo jakamoyo
 
Papuchi inayotumika kiasi hicho ingekuwa na kaarufu fulani
Mbona spark plug kwenye gari zinatumika muda wote, je zinakuwa na harufu?

"ᴬ ᵐᵃⁿ ʷʰᵒ ˢᵗᵃⁿᵈˢ ᶠᵒʳ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ʷⁱˡˡ ᶠᵃˡˡ ᶠᵒʳ ᵃⁿʸᵗʰⁱⁿᵍ"
 
Utakuta na huku jf yupo
.
Ila mkuu kweli mpenzi wako atiwe na wanaume wengine usihisi chochote kwenda papuchi yake? WEWE NI MZEMBE
Nimekupenda bure halafu baada ya kugundua madudu ya demu wake bado anatuomba ushauri afanyaje!!!!
 
Dunia ndo imetufikisha hapo sasa jinsi hakuna. Watu tumependa sana mitandao na kutoka kwenye uhalisia. Ukipatana na mtu eti kwenye social network yoyote halafu ndo uje utake kuoa/kuolewa jua utachapiwa hadi siku ya mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…