Siamini kumbe Mchumba wangu ni malaya! Wanawake ni hatari!

Mkuu apa na yeye atabadili aseme alikua anamchunguza mumewe teh teh

Vitunguu swaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuuulizapo ulikuwa wapiii..(Nilikua kwa shangazi Kariakoo)

Kumbe unawako wa pembeni kipenzi Editha...

Sikinde Ngoma ya Ukaye.
Unaukumbuka
Ukitaka kufurahi kila juma mosi njoo uburudike na wana Sikinde oyee
DDC mlimani park
 
Hii stori yako bwana daaah eti unaomba ushauri wakati kakuambia alishawahi kupigwa mtungo na wanaume watatu na wanne kakubali.Yaani ukiendelea nae dishi lako litakuwa na chenga

Sent using Jamii Forums mobile app
broo kwa maelezo yake unaona kuna kuachana apo
labda apate ukimwi kuna vitu vingine mtu akiomba ushauri wee mwambie aamue aonavyo yeye ila jaamaa hawezi muacha demu uyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama haja yako ilikua kuoa weye muowe tu. Ila muaonye aache mambo yake na mueleze kama tayari ushaifahamu michezo yake japo kuwa usimueleze njia ulizotumia kuweza kufahamu.
Ukitaka mwanamke wapekeyako Tanzania hii na hasa mjini utaishia kujitundika mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…