Siamini kumbe Mchumba wangu ni malaya! Wanawake ni hatari!

Huko Instagram ndiyo biashara inapofanyika so kuanzia mwanzo ulikosa kufall in love na mwanamke wa Instagram.


Ili myamalize vizuri muite hotel kama mteja kwa ujira wa hiyo 60,000 akiingia room atakukuta ni wewe mtajadili vizuri ndiyo ata-admit kuwa ni kazi yake na baada ya hapo mtakubaliana kuanzia sasa akuhudumie tu kwa malipo na sio ile ndoto ya mchana ya kuoa demu wa Instagram.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu apa na yeye atabadili aseme alikua anamchunguza mumewe teh teh

Vitunguu swaumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuuulizapo ulikuwa wapiii..(Nilikua kwa shangazi Kariakoo)

Kumbe unawako wa pembeni kipenzi Editha...

Sikinde Ngoma ya Ukaye.
Unaukumbuka
Ukitaka kufurahi kila juma mosi njoo uburudike na wana Sikinde oyee
DDC mlimani park
 
Hii stori yako bwana daaah eti unaomba ushauri wakati kakuambia alishawahi kupigwa mtungo na wanaume watatu na wanne kakubali.Yaani ukiendelea nae dishi lako litakuwa na chenga

Sent using Jamii Forums mobile app
broo kwa maelezo yake unaona kuna kuachana apo labda apate ukimwi kuna vitu vingine mtu akiomba ushauri wee mwambie aamue aonavyo yeye ila jaamaa hawezi muacha demu uyoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama haja yako ilikua kuoa weye muowe tu. Ila muaonye aache mambo yake na mueleze kama tayari ushaifahamu michezo yake japo kuwa usimueleze njia ulizotumia kuweza kufahamu.
Ukitaka mwanamke wapekeyako Tanzania hii na hasa mjini utaishia kujitundika mkuu.
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom