Siamini kumbe Mchumba wangu ni malaya! Wanawake ni hatari!

Bora ajiongeze tu amuache.Akimuita hotelini na hii mihemuko ya kusalitiana wanaweza kupigana waumizane.
 
Simulizi yako inafundisha,una kipaji cha UTUNZI kitumie mkuu unaweza kuja kuwa script writer mzuri.
 
Mkuu fanya ivi kubariana nae aje hotel na wewe ndio utangulie hakukute akifungua tu anakutana na wewe utakuwa umemaliza tena usimsemeshe mwache tu wewe sepa utamsaidia siku iyo kuacha umaraya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…