Siamini kumbe Mchumba wangu ni malaya! Wanawake ni hatari!

Kama hii sio chai Pole sana dogo.

Huku mitandaoni unatakiwa kuchukua magoma ya kukatia kiu tu.
 
Nikisomaga Uzi kama huu najionaga the best ever loh, watu hawaogopi kupanuka uchi na ombo tofauti??
 
Wanawake wote ni malaya ila huyo wako ni CHANGUDOA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
weka picha na jina lake analotumia huko hitwe tumjue
 
Mimi mkuu nmepangiwa kaz sehemu furani

Kufika nkampenda dada mmja hvi mweusi mpole hivi ila mcheshi nkataka ingia mazima

Nkawaza nimchimbe kidogo nijue
Weeeeeeeeee weeeee niliyoambiw mbona nmetoka nduuuukiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…