Wameona siasa safi.
Kama mali zilikuwepo enzi na enzi na walikuwa wanajuwa kuwa zipo, lakini siasa mbovu za kudhulumu (kutaifisha) za Nyerere ndio zilizowafanya wasije tena mpaka sasa Kikwete alivyoweka mambo sawa.
Hizo ni faida za safari za Kikwete. Bila wawekezaji nchi haitoendelea. Hata nchi tajiri zaidi yetu duniani zinahaha kutafuta wawekezaji.
Hongera sana Kikwete.