Si tumekatazwa mikusanyiko???

Ni mikusanyiko Isiyokuwa ya lazima ngoja tumalizie kuzika kwanza tutatawanyika tukimaliza.
 

Attachments

  • IMG_20200420_115457.jpg
    296.1 KB · Views: 11
Hao watakuwa majambazi wa kwenye bongo muvi wanapiga tukio hawanaga mazoea ya kuingia ndani na viatu kwenye enea la tukio
 
Tulianza na Nissan nyeusi, sasa ni viatu vyeusi...rangi nyeusi Mungu anakuona ujue!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…