Ifumange JF-Expert Member Joined Oct 21, 2016 Posts 900 Reaction score 1,077 Nov 4, 2017 #1 Nimeumia sana eti vifaranga wanateketeza kwa moto lakini kwa sheria ile ile ya magonjwa ya kuambukiza ng'ombe wanataifishwa na kupiga mnada siamini.
Nimeumia sana eti vifaranga wanateketeza kwa moto lakini kwa sheria ile ile ya magonjwa ya kuambukiza ng'ombe wanataifishwa na kupiga mnada siamini.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 35,269 Reaction score 61,218 Nov 4, 2017 #2 Hao waliochoma vifaranga Mungu anawaona Laana itawaandama
M mangatara JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 14,517 Reaction score 14,169 Nov 4, 2017 #3 Ng'ombe huenda kuchinjwa ila vifaranga watachukua siku nyiiingi kuliwa yakhee. Pili; utahitaji kuni nyingi sana kuunguza ng'ombe 6000 kumbe mafuta taa lita moja tu iliunguza vifaranga 6000. Usijali huo ndio ulimwengu
Ng'ombe huenda kuchinjwa ila vifaranga watachukua siku nyiiingi kuliwa yakhee. Pili; utahitaji kuni nyingi sana kuunguza ng'ombe 6000 kumbe mafuta taa lita moja tu iliunguza vifaranga 6000. Usijali huo ndio ulimwengu