Ni kweli..! Wanaume tunaongoza kuwa matapeli wa mapenzi...!
Si rahisi mwanamke mwenye ndoa akadanganya mtandaoni kuwa hana mume, na ni rahisi mwanaume mwenye ndoa akadanganya hana mke.
Ukijimix kwake unatafunwa alafu anadai haujafikia vigezo.
hapo umesema nduguNi kweli..! Wanaume tunaongoza kuwa matapeli wa mapenzi...!
Si rahisi mwanamke mwenye ndoa akadanganya mtandaoni kuwa hana mume, na ni rahisi mwanaume mwenye ndoa akadanganya hana mke.
Ukijimix kwake unatafunwa alafu anadai haujafikia vigezo.
kati ya asali na pilipili ipi tamu?
Ni kweli..! Wanaume tunaongoza kuwa matapeli wa mapenzi...!
Si rahisi mwanamke mwenye ndoa akadanganya mtandaoni kuwa hana mume, na ni rahisi mwanaume mwenye ndoa akadanganya hana mke.
Ukijimix kwake unatafunwa alafu anadai haujafikia vigezo.
Fahamu tuu msichana amesha fahamu na kucheza na internet baasi teaana!
kati ya asali na pilipili ipi tamu?
Men are predators, women are vamps. lolnaturally men are predators, so they have to be the prowl 24/7
Mkuu hiyo sentensi sijaielewa...unamaanisha nini?
Inavyo onekana kwenye mijadala ya mapenzi na uhusiano, hasa kwenye kile ki sub furum {LOVE CONNECT} ikitokea kajitokeza mvulana/mwanaume anatafuta mpenzi/mchumba au marafiki utakuta watu wachache sana wamechangia, wakati mwingine hakuna kabisa!
Ila ikitokea msichana/mwanamke anatafuta, within a 20 mins, comments zaid ya ishirin zisha dondoshwa! Uja hesabu pm!
hii inakuaje?
Weka mtazamo wako na assumptions zako!