Si kila mpinga CHADEMA ni CCM

BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
Ccm imewafanya kuwa dodoki lake ndio unaona iko na manufaa nanyi?!
 
Hapa hata mia hulipwi na waliokutuma....acha UK.........a
 
Mh! Mzee umejaaliwa kwa kuuchongoa.
Hivi, kuna mtu anayeweza kushindana nawewe hata kwa hoja zenye msingi akakushinda kweli?
 
Mie nilipokosoa ujanjaujanja wa viongozi wangu wa CDM mpaka sasa vijana wote wa kichaga hapa mtaani wananiita msaliti na wameninunia kichizi.
 
Kwa mwaka huu nadhani huu ndio uzi mbovu kupita zote zilizoletwa kwenye jukwaa hili , hivi unajua kusoma kweli ? Maana nimejiridhisha kwamba kuandika hujui .
 
Mie nilipokosoa ujanjaujanja wa viongozi wangu wa CDM mpaka sasa vijana wote wa kichaga hapa mtaani wananiita msaliti na wameninunia kichizi.
Sawa ngosha , ukabila ni hatari sana !
 
Mleta mada ww binafs unashida ya kudharau wengine harafu unataka uheshimiwe, posible? Et chama cha marangu.

Anza kujiheshim utaheshimiwa
Huu ugonjwa wa kuukataa ukweli, unatusumbua sana waTz.
Ndiyo maana hata Magu anavyopiga kavukavu watu wanamuona mbaya. Tulisharogeka kushibishwa propaganda.
Hivi mtu kusema chama cha Marangu katukana?
Kwa akili zako chadema ni chama cha kitaifa? Je kinaweza kuja kupata kiongozi mwingine toka sehemu nyingine, tofauti na kanda ya kaskazini?
Chama hicho baada ya mzee dk. Slaa kuachia, kilishabaki kuwa ni chama cha ukoo na ukabila.
Wafuasi wanaotoka kanda tofauti, ni wale wanaoburuzwa na roho zao zinawasuta, maana walikwishapokea hela za ushawishi, zilizokuwa zinamwagwa kama njugu na Mamvi kipindi cha kampeni.
Tusilazimishane kusadiki vitu ambavyo hata mtoto mdogo anavielewa wazi ukweli wake upoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…