Si kila mpinga CHADEMA ni CCM

CDM wanaendekeza dhana ya ukabila kwa kukiita chama cha ACT wazalendo ni cha waha......ila wao wakiitwa wachaga wanakuwa pilipili.
 
BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
Ukipanda dhambi ya ubaguzi itakutafuna Mwl Nyerere . haya ya ulutheli Edo alipanda dhambi hiii
 
BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
Unadhalilisha waislamu... Ustadh hovyo.
 
Ukimpinga comrade Mbowe wewe ni mpinzani na msaliti. Muulize Zuberi Kabwe.
 
Ni kweli ccm imechoka, na imechoka hasa, hata mimi natamani sana atokee mbadala wa kuitawala nchi. Ccm imekuwa chama kikongwe sana, nadhani afrika ni moja ya vyama vikongwe ambavyo bado vipo madarakani.

Swali ni nani wa kuchukua nafasi ya ccm kwa sasa, hatuna upinzani imara, sio kwa upinzani huu wa Mbowe na kanda ya kaskazini...
 
Tunaposema CHADEMA ni chama cha Marangu tunakuwa na maana ni chama cha Wachaga kwa maana wa Marangu ni kabila la Wachaga ndio maana yake na kama hutaki acha!
 
BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
aisee hapo umeish tanzania tu ndo hvyo ungekuwa yemen cjui ingekuwaje!
 
kwan kwann nyie CCM mnahisi watu wa chadema wanajiona wana akili kuliko nyie?maana hata chuon utakuta mkiwepo washkaj mnadiscuss mambo ya siasa kukuta kijana mwenzenu anajtambulisha kuwa yy n ccm ni kazi kidogo mtajkuta wote ni vyama vya upinzan.....
 
na sio kila anaepinga ccm na serikali yake ni chadema.maana wengine ni watanzania wazalendo wa nchi yao na sio tuvikundi twenu huto mlito tubatiza jina la vyama vya siasa.
Na kinyume chake ni sahihi pia, lkn pia ukumbuke kuwa hasara zote zinazo tokana na mipango mibovu, usimamizi wa hovyo, na na ufisadi ni mazao ya ccm mvikubali kama mnavyo hayo mafanikio kiduchu.
 
Kwa hiyo mamvi ni kizazi kipya?
 
Hii ni miongoni mwa mada zenye akili sana. Tusubiri matusi sasa. Stay Tuned!
 
Si kila mpinga ccm ni CHADEMA
 
BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
Waislam wa bakwata
 
Ccm ni cha kwenu waislam?
 
kwan kwann nyie CCM mnahisi watu wa chadema wanajiona wana akili kuliko nyie?maana hata chuon utakuta mkiwepo washkaj mnadiscuss mambo ya siasa kukuta kijana mwenzenu anajtambulisha kuwa yy n ccm ni kazi kidogo mtajkuta wote ni vyama vya upinzan.....
acha uongi iko chuo gani unazungumzia
 
Ukishawaelewa kua hawajielewi basi unaishi humu bila matatizo!
 
BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
Samahani mkuu, wewe ndiye JPM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…