na sio kila anaepinga ccm na serikali yake ni chadema.maana wengine ni watanzania wazalendo wa nchi yao na sio tuvikundi twenu huto mlito tubatiza jina la vyama vya siasa.kumekuwa na dhana kwa watu wa chama cha marangu kuwa kila anayeipinga chadema basi wanasema eti ni ccm kwanza
kuna tatizo gani mtu kuwa ccm why wewe uliye upinzani ujione unaakili sana kushinda mwenzako wa ccm kwanini umdharau mwenzako kana kwamba ww ndo mjuaji wa kila kitu .Tuache ujinga huu wa kila noinga chadema ni ccm na pia muwe mnakubali kukosolewa maana mkikisilewa tu utaskia we ccm nini na matusi kibao afu bado mnamtukana mkuu hataki kukosolewa wakati nyie ndo namba moja..jumapili njema
Kwa maandishi na uandishi wako tu tayari unaonekana u mjinga. Tunajua ndio kuwa ACT, DOVUTWA Company na PAROLE pia ni Anti-CDM, sasa sijui kama tunatakiwa kuelezwa na wewe.kumekuwa na dhana kwa watu wa chama cha marangu kuwa kila anayeipinga chadema basi wanasema eti ni ccm kwanza
kuna tatizo gani mtu kuwa ccm why wewe uliye upinzani ujione unaakili sana kushinda mwenzako wa ccm kwanini umdharau mwenzako kana kwamba ww ndo mjuaji wa kila kitu .Tuache ujinga huu wa kila noinga chadema ni ccm na pia muwe mnakubali kukosolewa maana mkikisilewa tu utaskia we ccm nini na matusi kibao afu bado mnamtukana mkuu hataki kukosolewa wakati nyie ndo namba moja..jumapili njema
Uwezi wako umeishia hapoBINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
kuandika tu hujui!! elimu yako inatia mashaka sana.........waislamu huwa hatufuati mkumboUwezi wako umeishia hapo
kumekuwa na dhana kwa watu wa chama cha marangu kuwa kila anayeipinga chadema basi wanasema eti ni ccm kwanza
kuna tatizo gani mtu kuwa ccm why wewe uliye upinzani ujione unaakili sana kushinda mwenzako wa ccm kwanini umdharau mwenzako kana kwamba ww ndo mjuaji wa kila kitu .Tuache ujinga huu wa kila noinga chadema ni ccm na pia muwe mnakubali kukosolewa maana mkikisilewa tu utaskia we ccm nini na matusi kibao afu bado mnamtukana mkuu hataki kukosolewa wakati nyie ndo namba moja..jumapili njema
kumekuwa na dhana kwa watu wa chama cha marangu kuwa kila anayeipinga chadema basi wanasema eti ni ccm kwanza
kuna tatizo gani mtu kuwa ccm why wewe uliye upinzani ujione unaakili sana kushinda mwenzako wa ccm kwanini umdharau mwenzako kana kwamba ww ndo mjuaji wa kila kitu .Tuache ujinga huu wa kila noinga chadema ni ccm na pia muwe mnakubali kukosolewa maana mkikisilewa tu utaskia we ccm nini na matusi kibao afu bado mnamtukana mkuu hataki kukosolewa wakati nyie ndo namba moja..jumapili njema
Kuna haja ya kuingiza dini kwenye Siasa brother?BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu
Kuna haja ya kuingiza dini kwenye Siasa brother?
Kwaiyo mtu akisema CUF ni chama cha waislamu anakosea kitu cha kujua ni kuwa chama hakina dini ila wanachama ndio wenye dinikuandika tu hujui!! elimu yako inatia mashaka sana.........waislamu huwa hatufuati mkumbo
kwa iyo ww uliye CHADEMA ndo unaakili sana ?Mkuu acha kulalamika,peleka malalamiko yako kwenye ofisi za Chama au kwenye vikao. CCM inatosha kwa sasa kupunzika maana wametuibia sana. Watu wanakuona wewe mjinga ukiwa CCM kwa sababu una akili sawa na mababu na mabibi zako hata hutofautiani kiifkra tokea chama kushika hatamu. Acha kuogopa mabadiliko mkuu.Sisi tunapita na kizazi chetu kwa nini CCM haina kizazi chake wao ni kutaka kutawala tu maisha yao yote? Je kwa kizazi hiki hakitofautiani na kizazi cha babu na bibi zetu kuikumbatia CCM? Amka mkuu let see our generation
Tatizo ni Kuwa mnakuwa Kama Bisimba, haki za binadamu ni chadema tu lakini watu wakitolewa macho kimyana sio kila anaepinga ccm na serikali yake ni chadema.maana wengine ni watanzania wazalendo wa nchi yao na sio tuvikundi twenu huto mlito tubatiza jina la vyama vya siasa.
Bado unalishwa maneno sio uelewa ukishiba, utanielewa.Tatizo ni Kuwa mnakuwa Kama Bisimba, haki za binadamu ni chadema tu lakini watu wakitolewa macho kimya
Pia kipo kkanda zaid... viongoz wengi wa juu n wa sehem moja.BINAFSI SITAWAHI KUISHABIKIA CHADEMA WALA KUISUPPORT KWA NAMNA YOTOTE ILE....CHADEMA KIPO KILUTHERI ZAIDI...waislamu huwa tunaangalia penye faida nasi kinyume na hapo hatushabikii ovyo ovyo tu