pia naamini hata katika maisha ya kawaida hatuwezi kupendwa au kuchukiwa na wote,hivyo hapo imeleta dhana halisi ya ubinadamuNimeshajaribu sana!
Kwingi niliaminika! Na kuchache sikuaminika kwa nilio wariquest walikua na fikra finyu .
pia naamini hata katika maisha ya kawaida hatuwezi kupendwa au kuchukiwa na wote,hivyo hapo imeleta dhana halisi ya ubinadamu
pamoja na kua nchi yetu ina deni kubwa,bado ina sifa,inakopesheka
hivo nami basi kama mwananchi mwadilifu
nakopesheka
hizo zina kitabu chake cha mapato na matumizi
sa nikikopa inakua si kwa matumizi ya kiparokia..inakua binafsi..na hapo ndipo sifa yangu ya kukopesheka inapotwaa nafasi
hahahahaaaa haya majanga,kwahiyo wanatazamia mpaka mikao ya kugegedana ili deni lipigwe kapuni lol!Sometimes wanaoharibu dhana hii njema , ni wale wawakopao wapenzi wao , then refundable inakua mbinde! Matokeo yake kama ni Me ndiyo atazidisha vionjomapenzi kama kumzamia Uvinza etcetera! Na kama ni Ke ndy ataanza kulamba mkonga kisenzi! Yote ikiwa self defence mechanism asikumbushwe deni .
Acha woga wewe
Hebu jaribu unaweza kuwa mwenye bahati .....lol
Dear,
Brothers & Sisters
Kwa muda mchache huu mniazime maskio yenu , kwa uchache nitoe haka "ka'shamba darasa".
Si kila umuonae kakufika umkopeshe any wealthy iwe Fedha , Bidhaa , na vifananavyo na hivyo , ukadhani kapinda yuko Bankrupt!
Nasema HAPANA! Kumdhania mtu hivyo haraka- haraka ni fikra finyu .
Wengine huja kuomba mikopo kwa dhamira ya kujiridhisha tu !
Kwamba incase wakiomba kukopa WANAAMINIKA ?
Always binadamu yeyote hujisikia furaha pindipo akijielewa anaaminika .
Je? My fellow dear mdau unae peruzi Uzi huu umeshawahi jipima kama unaaminika ?
Unakopesheka ?
Jioni njema .