Si hamu ikanishika bwana πŸ˜‰ - njoo tuzogoe!

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
14,615
Reaction score
35,326
Wiki ilikua ndefu hii, alhamdulillah imeisha, nimewamiss, njooni tuzogoe.
  1. Umeshawahi kushikwa na hamu ya kufanya kitu chochote mpaka ikabidi ubadili ratiba yako yote ili tu ukifanikishe?

  2. Wanaume; hivi tukiwapandilia juu wakati wa kula chakula cha wakubwa, tukaneng’eneka zile dakika zetu 3, huwa mnajisikia raha au ndiyo ile tu mnatuambia β€œnjoo juu mpenzi"" ili na wewe ulale kidogo, upumzike?

  3. Ulijuaje kwamba mpenzi wako amefurahia tendo faraghani? alikufanyia nini au alikuambia nini baada ya kumaliza jambo lenu?

  4. Uliza swali lolote kwa yeyote

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…