hili jibu halijitoshelezi hasa kwa kuwa limetolewa senior memba, hili ni jibu la form four wa 2010Lisemwalo lipo kama halipo laja...............
Lisemwalo lipo kama halipo laja...............
Huyu bwana alikuwa hajui Div. four inaishia points ngapi!hili jibu halijitoshelezi hasa kwa kuwa limetolewa senior memba, hili ni jibu la form four wa 2010
Misemo mingine ishapitwa na wakati kabisa hivi mfano tukisema Mohammedi Shossi ni shoga hata kama sio shoga atakuja kuwa shoga?Lisemwalo lipo kama halipo laja...............
aaaahhh nimeipenda hiyoNimepanda daladala na denti kagoma kuachia siti, nadhani chdm wanahusika. Unapokabiliwa na tatizo la kushindwa kuongoza basi tatizo lako watupie wengine ww ubaki unadunda kwa ulinzi wa polisi
Lisemwalo lipo kama halipo laja...............
mwizi kagoma kurudisha viatu alivyokwapua kwa sababu kashawishiwa na CDM, hata MAKAMBA hana pumba kama hizi,Nimepanda daladala na denti kagoma kuachia siti, nadhani chdm wanahusika. Unapokabiliwa na tatizo la kushindwa kuongoza basi tatizo lako watupie wengine ww ubaki unadunda kwa ulinzi wa polisi
mwizi kagoma kurudisha viatu alivyokwapua kwa sababu kashawishiwa na CDM, hata MAKAMBA hana pumba kama hizi,
Mwingine eti lisemwalo lipo/laja : Okey nasema kuna siku atajikuta anajinsia opposite....na asibishe kwa kuwa lisemwalo laja
Naomba wanajf tujadili tuhuma hizi.
CCM chakishutumu Chadema migomo vyuo vikuu
Na Mwandishi wetu
13th February 2011
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimekituhumu Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),kuwa kimekuwa kikichangia migomo ya wanafunzi wa Elimu ya juu, na kuchochea vurugu zinazoendelea vyuoni.
Tuhuma hizo zilitolewa na Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Kilumbe Ng'enda alipokuwa akizungumza na Madiwani na wenyeviti wa serikali za mitaa, wa wilaya ya Kinondoni wa chama hicho juzi jijini.
Ng'enda alisema Chadema wamekuwa wanaleta migogoro na misukumo katika vyuo vikuu ili chama tawala CCM kiondolewe madarakani kwa migogoro hiyo.
"Vurugu hizi zina ushawishi mkubwa wa siasa hasa Chadema na hasa tukio la Arusha, walianzisha vurugu na wenyewe kukaa pembeni, hadi leo hakuna kinachoendelea baada ya wale watu kufa na kuzikwa, kikubwa waliambiwa wapumzike kwa amani," alisema.
Alisema CCM hakiwezi kung'olewa madarakani, na chama chochote bali kitajing'oa chenyewe, kwa kutokuwa na ushirikiano ndani ya chama.
Alisema kuwa chama kitahakikisha kinawapa vipaumbele wananchi kwa kuwatatulia shida zao zilizoko katika jamii, ili kukipa chama fursa ya kurudisha heshima yake katika kuogoza nchi.
Pia alimpongeza mgeni rasmi wa kikao hicho, Didas Masaburi Meya ya jiji la Dar es salam, kwa nia yake ya kujua ufanisi wa huduma za jamii katika manispaa zote tatu, katika ziara aliyokuwa anamalizia katika kikao hicho.
Dk. Masaburi katika ziara yake aliahidi mipira kwa kila kata, lengo likiwa ni kuweka vijana katika umoja wa chama, na kuwaingiza katika mpango wa ajira, katika kila kata wanazoishi, kama ulinzi shirikishi na usafi wa mazingira.
CHANZO: NIPASHE JUMAPILI
Misemo mingine ishapitwa na wakati kabisa hivi mfano tukisema Mohammedi Shossi ni shoga hata kama sio shoga atakuja kuwa shoga?
Mohammed Shossi ni Shoga...lisemwalo lipo kama halipo laja..(utajibu hivyo?)
Misemo mingine ishapitwa na wakati kabisa hivi mfano tukisema Mohammedi Shossi ni shoga hata kama sio shoga atakuja kuwa shoga?
Mohammed Shossi ni Shoga...lisemwalo lipo kama halipo laja..(utajibu hivyo?)[/QUOTE]
ngoja nikapate lunch badaye,maana hapo kwenye red pako bomba sana kwa watu kama shossi:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2: