Shule zetu na elimu yetu

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
161
Reaction score
298
Kila mfundishaji akijitahidi afundishe mambo yanayohusu maisha ya kila siku, shida inayotukumba tulio wengi Tunaandika sana darasani lakini tukiandikacho hatuwezi kukitendea kazi.

Ni kwa sababu muda unaanza kusoma unaingiwa na tamaa ya kusomea kitu fulani lakini kadri unavyo dhidi kusoma tunagundua hatuna uwezo wa masomo ya kitu ukipendacho ipo siku na sisi elimu yetu iwe ni kwa vitendo na si kuandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…