luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,375 Reaction score 6,986 Aug 8, 2020 #1 Eiiiiiiiiiii kume kuchaaaaaaa, baada ya wamiliki wa malls ku auction maduka ya wateja wao sasa bwana wenye shule wanaibuka na kali ya karne.
Eiiiiiiiiiii kume kuchaaaaaaa, baada ya wamiliki wa malls ku auction maduka ya wateja wao sasa bwana wenye shule wanaibuka na kali ya karne.
U UCD JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 10,617 Reaction score 7,586 Aug 9, 2020 #2 Mtakoma na corona yenu!
Naton Jr JF-Expert Member Joined Oct 5, 2016 Posts 7,866 Reaction score 19,253 Aug 9, 2020 #3 Lastly Magufuli anaanza kumake sense baada ya mabeberu kuwapotezea matumani Yaani wakenya ni vichaa na malimbukeni
Lastly Magufuli anaanza kumake sense baada ya mabeberu kuwapotezea matumani Yaani wakenya ni vichaa na malimbukeni
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 7,007 Aug 9, 2020 #4 luangalila said: Eiiiiiiiiiii kume kuchaaaaaaa, baada ya wamiliki wa malls ku auction maduka ya wateja wao sasa bwana wenye shule wanaibuka na kali ya karne. Click to expand... Fursa, ndo nacho wapendea kunyans. Sasa soko lipo? Maana pepple are not working, where will they get costumers?
luangalila said: Eiiiiiiiiiii kume kuchaaaaaaa, baada ya wamiliki wa malls ku auction maduka ya wateja wao sasa bwana wenye shule wanaibuka na kali ya karne. Click to expand... Fursa, ndo nacho wapendea kunyans. Sasa soko lipo? Maana pepple are not working, where will they get costumers?
eliakeem JF-Expert Member Joined May 29, 2009 Posts 17,813 Reaction score 16,488 Aug 9, 2020 #5 Teh teh tihiii Ujasili wa kupata mali.
BlietzKrieg JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 3,053 Reaction score 2,551 Aug 9, 2020 #6 ntamaholo said: Fursa, ndo nacho wapendea kunyans. Sasa soko lipo? Maana pepple are not working, where will they get costumers? Click to expand... Nani hao hawako kazi Kenya? Walimu pekee ndio wako nyumbani sahii, Kwingine kote vitu ziko kawaida
ntamaholo said: Fursa, ndo nacho wapendea kunyans. Sasa soko lipo? Maana pepple are not working, where will they get costumers? Click to expand... Nani hao hawako kazi Kenya? Walimu pekee ndio wako nyumbani sahii, Kwingine kote vitu ziko kawaida
Lewis254 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 8,447 Reaction score 3,690 Aug 9, 2020 #7 UCD said: Mtakoma na corona yenu! Click to expand... still hamutawai kutufikia