Abuu Dharr
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 2,912
- 3,022
Point dhaifu kabisa hii.. sema hivi nyie elimu sio kipaumbele chenu bali mnafosi tu ili kuendana na wenzenu. Ifike muda tu mchague nyie mtasoma madrasa tu maana mnaziwezea sana.Uislaam hauruhusu kuchuja na kufukuza watoto wasio na uwezo, kw shule zetu zina waroro wenye div 1 had Div 0 na hakuna tunaye shindana nae....
Usiusemee Uislam Chief ikiwa huujuiUislaam hauruhusu kuchuja na kufukuza watoto wasio na uwezo, kw shule zetu zina waroro wenye div 1 had Div 0 na hakuna tunaye shindana nae....
Inawezekana sababu zako zina mashiko kifogo. Usisahau mfumo usio rasmi ni kuonesha kuwa Waislamu ni dhaifu, hivyo kufeli ndio stahiki yao. Hili si kweli. Tunapaswa kuangalia mfumo mzima wa usimamizi wa elimu baadae tuje kulaumu. Kwa mfumo wa sasa tutafakari kwanza kabla kulaumu. Sisemi kwamba hayo uloeleza hayapo, ila yanachapuzwa na mfumo uliopo. Tuzindukeni.
Point dhaifu kabisa hii.. sema hivi nyie elimu sio kipaumbele chenu bali mnafosi tu ili kuendana na wenzenu. Ifike muda tu mchague nyie mtasoma madrasa tu maana mnaziwezea sana.
Si mnasema elimu dunia haina faida so msitafute excuse.
Shikeni elimu nyie..hamuoni wenzenu wakatoliki tunaenda na vitu vitatu Elimu,Imani na Afya. Kwenye kanisa unakuta kuna hospital na shule.
Nyie kwenu mnaishia kupanda mitende tu na maembe..Elimu inatafutwa haipewi. Ngoja niishie hapa maana povu nililonalo ajili ya nyie kupenda kulialia na kuonewa huruma ni jingi sana
Mkuu huko huko agiza mbege!Point dhaifu kabisa hii.. sema hivi nyie elimu sio kipaumbele chenu bali mnafosi tu ili kuendana na wenzenu. Ifike muda tu mchague nyie mtasoma madrasa tu maana mnaziwezea sana.
Si mnasema elimu dunia haina faida so msitafute excuse.
Shikeni elimu nyie..hamuoni wenzenu wakatoliki tunaenda na vitu vitatu Elimu,Imani na Afya. Kwenye kanisa unakuta kuna hospital na shule.
Nyie kwenu mnaishia kupanda mitende tu na maembe..Elimu inatafutwa haipewi. Ngoja niishie hapa maana povu nililonalo ajili ya nyie kupenda kulialia na kuonewa huruma ni jingi sana
Point dhaifu kabisa hii.. sema hivi nyie elimu sio kipaumbele chenu bali mnafosi tu ili kuendana na wenzenu. Ifike muda tu mchague nyie mtasoma madrasa tu maana mnaziwezea sana.
Si mnasema elimu dunia haina faida so msitafute excuse.
Shikeni elimu nyie..hamuoni wenzenu wakatoliki tunaenda na vitu vitatu Elimu,Imani na Afya. Kwenye kanisa unakuta kuna hospital na shule.
Nyie kwenu mnaishia kupanda mitende tu na maembe..Elimu inatafutwa haipewi. Ngoja niishie hapa maana povu nililonalo ajili ya nyie kupenda kulialia na kuonewa huruma ni jingi sana
Madrasa kubwa Africa Al Azhar university ndio pia chuo kikubwa Kabisa Africa mfano wa Graduates wa Al Azhar ni kamaPoint dhaifu kabisa hii.. sema hivi nyie elimu sio kipaumbele chenu bali mnafosi tu ili kuendana na wenzenu. Ifike muda tu mchague nyie mtasoma madrasa tu maana mnaziwezea sana.
Si mnasema elimu dunia haina faida so msitafute excuse.
Shikeni elimu nyie..hamuoni wenzenu wakatoliki tunaenda na vitu vitatu Elimu,Imani na Afya. Kwenye kanisa unakuta kuna hospital na shule.
Nyie kwenu mnaishia kupanda mitende tu na maembe..Elimu inatafutwa haipewi. Ngoja niishie hapa maana povu nililonalo ajili ya nyie kupenda kulialia na kuonewa huruma ni jingi sana
Usipunic wenzio wanabishana kwa hoja acha kuandika viloja ostazNyie msiosoma madrasa, mmefaidika nini? Mbona hamjajitawla kifikra?
Utakuwa na matatizo mengi kichwani!Abuu Dharr,
Uislaam hauruhusu kuchuja na kufukuza watoto wasio na uwezo, kw shule zetu zina waroro wenye div 1 had Div 0 na hakuna tunaye shindana nae.
Chuo kingine? UDSM, una swali?Madrasa kubwa Africa Al Azhar university ndio pia chuo kikubwa Kabisa Africa mfano wa Graduates wa Al Azhar ni kama
1. Aliko Dangote Tajiri mkubwa zaidi Africa ambaye alisomea shahada ya Biashara ya kiisilamu.
2. Ossama youssef founder wa Diwan Videos multi chanell kubwa zaidi Africa yenye views zaidi ya Bilioni 10
3. Abdulrahman Wahid aliekuwa Rais wa Indonesia
4.Maumoon Gayum Raisi wa Maldives
5. Barhhanudin Bahani raisi wa Afghanistan
6. Ahmed Yasin Founder wa Hamas etc
Naweza kuchallenge taja chuo chochote Africa kiwe katoliki ama chengine kilichotoa products zinazoinfluence dunia kuanzia maraisi wa Nje ya Africa, watu matajiri, successfull business startup etc.
Tetea kwa hoja maraisi wangapi nje ya Africa wamesoma Udsm? Kuna wangapi ni graduets wana influence kubwa zinazofahamika duniani kote?