D Daren Dedan Member Joined May 6, 2014 Posts 10 Reaction score 2 Nov 21, 2015 #1 Ili mtu apangwe advance special school combi za science lazma apate DISTINCTION ya ngapi na grade gani kwenye masomo ya combi?
Ili mtu apangwe advance special school combi za science lazma apate DISTINCTION ya ngapi na grade gani kwenye masomo ya combi?
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,795 Reaction score 6,443 Nov 21, 2015 #2 Daah mimi nimesoma zamani kabla huu mfumo wa GPA haujaanza lakini wakati wetu( ni juzi tu miaka minne iliyopita) ili uende special school mara nyingi uwe na Division 1 ya 13 na. AAA au AAB kwenye masomo ya mchepuo unaoutaka
Daah mimi nimesoma zamani kabla huu mfumo wa GPA haujaanza lakini wakati wetu( ni juzi tu miaka minne iliyopita) ili uende special school mara nyingi uwe na Division 1 ya 13 na. AAA au AAB kwenye masomo ya mchepuo unaoutaka