Daah mimi nimesoma zamani kabla huu mfumo wa GPA haujaanza lakini wakati wetu( ni juzi tu miaka minne iliyopita) ili uende special school mara nyingi uwe na Division 1 ya 13 na. AAA au AAB kwenye masomo ya mchepuo unaoutaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.