Shule ya Sekondari ya Mount Zion

nash2010

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2010
Posts
624
Reaction score
216
hii shule ni hatari
 

Attachments

  • 716.jpg
    68.4 KB · Views: 197
  • 812.jpg
    47.7 KB · Views: 165
  • 1117.jpg
    40.8 KB · Views: 147
  • 1312.jpg
    47.5 KB · Views: 140
alafu wanafunzi kama hawa unategemea wafaulu kwa alama za juu, subiri waosha vinywa waje na comment zao hapa utasikia "mimi nilisoma kwa shida sanaaa naloeka miguu kwenye beseni na mmbu wananing'ata, mwalimu haiingi darasani muhula mzima anakuja kuwatajia majina ya vitabu tu muende kujisomea wenyewe na nikafaulu kwa alama za juu sana"

longo longo tu hamna lolo, tusaidie vijana wetu japo wajisomee kwenye mazingira yenye unafuu wa kuweza kumfanya aelewe lile analofundishwa na mwalimu wake.
 
dah ina jina takatifu! Mlima Sayuni tuna imani wote tutafika mlima sayuni, nyumbani kwa baba yetu
 
Kwa kweli inasikitisha sana. Lakini ndiyo matokeo ya rushwa haya sio kwamba mamlaka hazijui zinajua ila zinanyamazishwa kwa kupewa mlungula. MKOMBOZI wa Tanzania yuko wapi!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…