Shule ya sekondari Runzewe yafungwa

Shule ya sekondari Runzewe yafungwa

manju

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
49
Reaction score
8
Shule ya sekondari ya Runzewe mkoani Geita imefungwa kwa muda kwa wanafunzi wa kidato cha sita na tano baada ya kuandamana jana usiku huku wakidai kutotendewa haki katika adhabu wanazopewa na mkuu wa shule.
 
Hii na kati ya shule za kata bora kabisa Tanzania,nadhani kwa shule za kata inaongoza Tanzania,kinachoifanya iwe kifua mbele kila mwaka bila shaka ni adhabu hizo wanazopewa wanafunzi,kuna pepo limeingia kinataka kuvuruga hiyo shule kitaaluma,hivi kama mnachapwa na mwisho wa siku matokeo yakitoka waliofeli wana division 2 kuna ubaya gani? Mwalimu akihamua kuwadekesha mnavyotaka walah shule yenu itakuwa kama shule nyingine za kata ninazozijua
 
Hiyo siyo shule ya kata mkuu,utakuwa huijui vizuri
 
Back
Top Bottom