Fire ni tatizo bado la sehemu nyingi kwa kas ya maguful aagize tu magar ya washawasha yatoe msaada kwenye matukio kama haya maana kaz yaliyo nayo hayaendan na tz ya magufuli kwakwe ni kaz tu sio jengine
lema aliacha kampeni au mbona. cmwoni hapo mkuu nahisi kuna haja ya halmashauri kuanza kuweka ulinzi kwenye shule zetu na sio wazazi kuambiwa toa hela ya mlinzi wahalifu ukibahatika kuongea nao kwa Mzee Wa upako au njia panda waulize nini nia yao hasa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.