BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,917 Jul 10, 2013 #2 mkuu donate walau solar powered light kwa familia moja kama hii,itakua umefanya jambo la maana sana haizidi tsh20000 kwa taa moja ya kusomea
mkuu donate walau solar powered light kwa familia moja kama hii,itakua umefanya jambo la maana sana haizidi tsh20000 kwa taa moja ya kusomea
BRO LEE JF-Expert Member Joined Dec 25, 2011 Posts 837 Reaction score 628 Jul 10, 2013 #3 Dogo katangaziwa test hapo
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,559 Reaction score 51,900 Jul 10, 2013 #4 kwa sisi tulio pitia mazingira hayo tunaelewa nini unachomaanisha unapo leta picha kama hiyo hapa jukwaani. Ila kwa ambao hawaku experience hicho kitu, wanaweza wasikuelewe kabisa unakusudia kusema nini.
kwa sisi tulio pitia mazingira hayo tunaelewa nini unachomaanisha unapo leta picha kama hiyo hapa jukwaani. Ila kwa ambao hawaku experience hicho kitu, wanaweza wasikuelewe kabisa unakusudia kusema nini.
M MOSSAD II JF-Expert Member Joined Apr 14, 2013 Posts 3,971 Reaction score 947 Jul 10, 2013 #5 BONGOLALA said: mkuu donate walau solar powered light kwa familia moja kama hii,itakua umefanya jambo la maana sana haizidi tsh20000 kwa taa moja ya kusomea Click to expand... Wamuone Ustaadh Abdallah EL
BONGOLALA said: mkuu donate walau solar powered light kwa familia moja kama hii,itakua umefanya jambo la maana sana haizidi tsh20000 kwa taa moja ya kusomea Click to expand... Wamuone Ustaadh Abdallah EL
george de hero Senior Member Joined Jul 7, 2013 Posts 122 Reaction score 14 Jul 10, 2013 #6 mwache asome one day yes.
B Baba mtata JF-Expert Member Joined Dec 6, 2012 Posts 280 Reaction score 40 Jul 11, 2013 #7 Tatizo wapiga kura hawapo serious
damian marijani JF-Expert Member Joined Jan 31, 2010 Posts 695 Reaction score 466 Jul 11, 2013 #8 Wanafaa kupewa mpira wa Obama
A ACCOUNT FULL JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1,995 Reaction score 389 Jul 11, 2013 #9 Na hapo wazazi wamemwambia asikawie sna asije akamaliza mafuta ya taa!
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Jul 11, 2013 #10 Alafu tunadanganyana tutafika eti
L Lugulu JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 482 Reaction score 176 Jul 11, 2013 #11 Maisha bora kwa kila MTANZANIA