Hii na Mzumbe huwa wanachaguliwa vijana ambao ni very bright. Lakini siku za karibuni zimekuwa ni migomo na maandamano kila mara. Sujui kitu gani kinaendelea. Naskia Ilboru wamewapa wanafunzi 24hrs wasiwapo shuleni kuanzia jana. Uongozi wa hizi shule pia umulikwe!